Home »
» MAPIGANO YAZUKA SUDANI KUSINI
MAPIGANO YAZUKA SUDANI KUSINI
Mapigano yamezuka Sudan Kusini siku mbili baada ya pande zinazozozana nchini humo kusaini kile serikali ilichokieleza kama makubaliano ya mwisho ya kumaliza vita vya wenyewe kwa wenyewe. Kila upande unaulaumu mwengine kwa mashambulizi hayo. Msemaji wa upande wa upinzani Lam Paul Gabriel amesema mapigano hayo yamezuka leo asubuhi katika jimbo la Central Equatoria baada ya wanajeshi wa serikali kuvamia kambi za upinzani za kaunti ya Lainya na Kajo KejI
Solo
0 comments:
Post a Comment