Nchini Uganda, jeshi la polisi limetumia mabomu ya machozi kuwatawanya mamia ya waandamanaji ambao wanapinga tozo jipya la kodi kwa matumizi ya mitandao ya kijamii. Kodi hiyo inamlazimisha mtumiaji wa mitandao hiyo kama Facebook, WhatsApp na hata Instagram kulipa shilingi 200 za Uganda (Tsh 116, Ksh 5) kwa siku.
Solomoni Tv
Home »
» Hatutaki kutozwa kodi za WhatsApp,Facebook wala Instagram
0 comments:
Post a Comment