Home »
» Sukari ya Madini ya Shaba na zebaki yakamatwa Nchini kenya
Sukari ya Madini ya Shaba na zebaki yakamatwa Nchini kenya
Polisi nchini Kenya wakamata maelfu ya tani za sukari inayosemekana kuwekwa madini ya shaba na zebaki katika mji wa OI Kalou ulioko jimbo la Nyandarua. Kisa hicho kinajiri siku mbili baada ya polisi kugundua magunia mengine 588 ya sukari huko Machakos. Inasemekana kuwa tani 4,500 za sukari hiyo tayari ziko sokoni. Kwa mujibu wa idara ya kemia ya serikali, sukari hiyo haifai kwa matumizi ya binadamu.
Solomonitv
0 comments:
Post a Comment