Viongozi wa CHADEMA, akiwemo mwenyekiti wake Freeman Mbowe wamepewa dhamana na mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kwa masharti ya kuwa na wadhamini wawili wawili watakaosaini bondi ya shilingi milioni 20 na barua utoka kwa viongozi wa ama vijiji ama mtaa. Pia wametakiwa kuripoti kituo kikuu cha polisi Dar es Salaam.
Solomonitv
0 comments:
Post a Comment