Solomonitv brog ni Brog ya kisasa itakayo kuhabarisha habari zote katika Dunia hii,Kwa matangazo zaidi husisite kuwasiliana nami maana Bei ni nafuu sana habari whatsapp No +255 624 499 969 Au +255 759 290 764

UNHCR wamekubaliana kuharakisha mchakato wa kuwarejesha wakimbizi wa Burundi walioko kwenye makambi nchini Tanzania


Serikali za Burundi, Tanzania pamoja na shirika la kuhudumia wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR wamekubaliana kuharakisha mchakato wa kuwarejesha wakimbizi wa Burundi walioko kwenye makambi nchini Tanzania, ili ifikapo katikakati ya mwaka huu wawe wamerejesha alau wakimbizi elfu 72. Hata hivyo waziri wa mambo ya ndani wa burundi Pascal Barandagiye, ametilia 

mashaka idadi ya wakimbizi inayotolewa na shirika la UNHCR na kutaka wakimbizi wahesabiwe upya mmoja mmoja tena kwa mkono.

Solomonitv

Share:

0 comments:

Post a Comment