Solomonitv brog ni Brog ya kisasa itakayo kuhabarisha habari zote katika Dunia hii,Kwa matangazo zaidi husisite kuwasiliana nami maana Bei ni nafuu sana habari whatsapp No +255 624 499 969 Au +255 759 290 764

Ano Wiser Official song ( We Love Tanzania)



                         ANO WISER
Hakika Tanzania kuna vipiji vingi sana ,hivi karibuni msanii wa kimataifa Nchini Tanzania Ano Wiser ameachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la "We Love Tanzania" msanii uyo wa miondoko ya HIP-HOP ameiambia Solomoni TV kuwa ujue wake ni ujionee wa Mapinduzi katika Tasnia nzima ya Sanaa ya uimbaji,aidha Ano amewatakawasanii wa we na umoja na mshikamano ili sanaa ya Bongo flaver izidi kupasua anga la Kimataifa.

" Mtangazaji wasanii wa Bongo flaver kwa apa Tanzania tupo wengi sana kiasi kwamba tukiungana tunaweza kufanya mambo makubwa sana,pili Namshukuru sana Rais Magufuli na viongozi wa wote na wadau wa Sanaa kwa kuonyesha saport kwa kuinua kiwanda   cha Mziki Tanzania sasa wasihishie kwa Diamond,Ally KIBA wa wajaribu kutoka na kutafuta wasanii na kuwasaidia maana sanaa ya uimbaji inachangaoto nyingi sana"

Solomoni tv
Share:

0 comments:

Post a Comment