Home »
» UTATA WA MH MAGUFULI
UTATA WA MH MAGUFULI
Rais John Magufuli wa Tanzania ameibua tena utata kwa kauli yake inayotafautiana na dhana ya uzazi wa mpango, ambayo ni sera ya kitaifa na kimataifa inayolenga kuoanisha uwezo wa mataifa kiuchumi na huduma kwa watu wao. Mwanaharakati Maria Sarungi, anayeongoza kampeni ya kujenga uwelewa wa kijamii kupitia mawasiliano anaeleza alivyoipokea kauli hii.
Solomoni tv
0 comments:
Post a Comment