Mwimbaji wa Injili nchini Tanzania Lissa Jes
amepokelewa kwa shangwe za kutosha Nchini Kongo,anasema kwa sasa yupo nchini kongo baada ya kumaliza ziara yake atarejea nchini Tanzania hivyo atakuwa tayale kwa mialiko mbalimbali
Amesema kuwa watanzania wawe tayari kwa ujio mpya wa albam yake mpya,amesema kuwa yupo kikazi zaidi
WhatsApp no 0710313460
Solomoni tv
0 comments:
Post a Comment