Shirika la kimataifa la Global Witness limeripoti kwamba visa vya mauaji ya wanaharakati wa kupigania mazingira vimeongezeka mwaka 2017. Shirika hilo limerikodi visa 207 vya wanaharakati waliouawa wakati wakijaribu kuilinda ardhi dhidi ya shughuli za kibiashara, mara nyingi kwa ajili ya ulimaji wa kahawa na michikichi.
Hali hiyo imeufanya 2017 kuwa mwaka mbaya zaidi katika rikodi ya mauaji ya wanaharakati wa mazingira. Mexico, Ufilipino na Brazil zimetajwa kuwa ndiyo nchi zinazotia wasiwasi zaidi.
Solomoni tv
0 comments:
Post a Comment