Solomonitv brog ni Brog ya kisasa itakayo kuhabarisha habari zote katika Dunia hii,Kwa matangazo zaidi husisite kuwasiliana nami maana Bei ni nafuu sana habari whatsapp No +255 624 499 969 Au +255 759 290 764

UZINDUZI WA MRADI WA KUZALISHA UMEME KINYEREZI II


UZINDUZI WA MRADI WA KUZALISHA UMEME KINYEREZI II: Rais Magufuli aliyeambatana na mkewe Janeth Magufuli awasili katika hafla ya kuzindua mradi wa umeme wa gesi asilia na kufanya ukaguzi katika maeneo kadhaa na kisha kuzindua rasmi mradi huo.
Solomonitv

Share:

0 comments:

Post a Comment