Home »
» usalama wa watu wenye ulemavu wa ngozI.
usalama wa watu wenye ulemavu wa ngozI.
Huko Mwanza nchini Tanzania, shirika la kimataifa linalojihusisha na utetezi, haki na usalama wa watu wenye ulemavu wa ngozi la Toner Foundation Europe lenye makao yake makuu jijini Dar es Salaam, leo limeonesha wasiwasi wake kuhusu kuanza kuyumba kwa usalama wa watu wenye ulemavu wa ngozi nchini Tanzania hususan mikoa ya kanda ya Ziwa na Magharibi.
0 comments:
Post a Comment