Home »
» Rais wa Marekani Donald Trump amemfuta kazi waziri wake wa mambo ya nje Rex Tillerson
Rais wa Marekani Donald Trump amemfuta kazi waziri wake wa mambo ya nje Rex Tillerson
Rais wa Marekani Donald Trump amemfuta kazi waziri wake wa mambo ya nje Rex Tillerson hii leo, na nafasi yake inachukuliwa na mkurugenzi wa shirika la kijasusi la Marekani, CIA, Mike Pompeo. Aidha Trump amemteua Gina Haspel kuwa mkurugenzi wa CIA. Ni mwanamke wa kwanza kushika wadhifa huo.
Solomoni tv
0 comments:
Post a Comment