Solomonitv brog ni Brog ya kisasa itakayo kuhabarisha habari zote katika Dunia hii,Kwa matangazo zaidi husisite kuwasiliana nami maana Bei ni nafuu sana habari whatsapp No +255 624 499 969 Au +255 759 290 764

Tamadini katika Nchi za Afrika hasa Afrika mashariki ni jambo la kawaidi,hivi karibuni imeripotiwa na shirika wa kutetea HAKI za watoto Nchini Tanzania kuwa Tamaduni za mziki wa SINGELI unaovuma kwa kasi unazidi kuaribu ukuaji wa watoto wadogo Nchini umo.
Mwandishi wetu ameinasa sehemu ya mziki wa kisingeri katika eneo la Temboni jijini Dar es salama wakicheza mziki uwo nyakati za mchana wengine wakiwa shul. Nini kifanyike kwa watoto wa kitanzania ili kukpmesha watoto kuingizwa katika Tamaduni za mziki kwa ujumla.
Solomoni tv
  

Share:

0 comments:

Post a Comment