Home »
» Mahakama ya Brazil imetupilia mbali maombi ya Luiz Inacio Lula da Silva
Mahakama ya Brazil imetupilia mbali maombi ya Luiz Inacio Lula da Silva
Mahakama ya Juu ya Brazil imetupilia mbali ombi la rais wa zamani wa nchi hiyo, Luiz Inacio Lula da Silva la kuchelewesha hukumu yake ya miaka 12 gerezani baada ya kupatikana na hatia ya rushwa. Lula alikuwa na matumaini ya kukaa uraiani wakati mchakato wa kusikilizwa rufaa yake ukiwa unaendelea.
Solomonitv
0 comments:
Post a Comment