Katika mtandao wa YouTube inayokwenda kwa jina la Solomoni tv,halkadharika mkurugenzi na mwanzilishi wa chaneli iyo Mh Deogratias Mathias,amesema kuwa lengo la uzinduzi wa kuonyesha Filam za Africa mashariki litasaidia kukuza na mahusiano baina ya wasanii wa tasnia hiyo ya filam Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla.
"Hatuishii katika mtandao mmoja pekee isipokuwa tutakuwa kila mtandao wa jamii LIVE tukikufikishia ukipendacho"
Facebook ni mtandao pendwa sana kwa apa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla hivyo Solomoni TV kazi yake ni kukufikishia Burudani ndani na Nje ya nchi kupitia mtandao ulio jiunge .
Tutaleta mahojiano ya ana kwa ana na wasanii kutoka Africa ya mashariki wakizungumzia Tasnia ya sanaa zao
Endelea kufuatilia katika mitandao ya kijamii facebook kwa jina Solomoni kingdom mathias,Istagram solomoni tv,youtube chanel solomoni tv
Kama wewe ni mfanyakazi,mfanyabiashara nafasi za matangazo bado ziko wazi...Tangaza sasa Biashara yako kupitia chaneli ya Solomoni TV ili unifaike sasa.
https://solomontvcom.wordpress.com
https://solomonitv.blogspot.com
Solomonitv@Gmail.com
0689499969demaki@gmail.com
Solomonitv.blogspot.com
WhatsApp No +255 624 499 969
0 comments:
Post a Comment