Home »
» Bora kurudiwa kuliko kurudi
Bora kurudiwa kuliko kurudi
Katika maswala ya mahusiano anayelalamika wa kwanza ndiye mwenye makosa,kwani apendaye hashawishiki bali anashawishi ukiona mtu anashawishika maana yake ha hapendi.
Anayependa hana haja ya kupendwa maana mwenye Upendo hapendwi anapenda.
Solomoni tv
0 comments:
Post a Comment